Sign in to confirm you’re not a bot
This helps protect our community. Learn more
"YESU ANA" by WAHU & SIZE 8 REBORN (OFFICIAL ANIMATION VIDEO)
Another collaboration by Wahu & Size 8 this time delivered in a light hearted animated style. The song talks of the love, saving grace and mercy of Jesus Christ. Watch, enjoy, share! LYRICS: VERSE ONE (WAHU) Yesu aki come mi na dunda Mziki wa Yesu mi na tunga Iwe praise ama worship ama rumba Tunga, Tunga shetani akicome ni na dunga na mkuki wa Yesu mi na dunga nimuone aki go low...aaa aaa go low CHORUS: Yesu ana gonga *2 mfungulie mlango ana gonga Yesu ana gonga Yesu ana bonga *2 fungua moyo wako ana bonga Yesu ana bonga VERSE TWO (SIZE 8) Zaliwa, zaliwa ndani ya Yesu nimezaliwa kuwa hapa leo ni majaliwa, majaliwa nitalia, nitalia, ukiniwacha Yesu mi nitalia Ukiniwacha Yesu mi nitaliza, nitalia, sitaki kuwa solo shetani ana bore so ni Yesu nina follow na shetani ana go low low low na shetani ana go low low low CHORUS Yesu ana gonga *2 mfungulie mlango anagonga Yesu ana gonga Yesu ana bonga *2 mfungulie wako ana bonga Yesu ana bonga Yesu ana gonga *2 fungua moyo wako ana gonga Yesu ana gonga. Performed by: Size 8 & Wahu Written by: Bern Ndungu Video animation by: Ken Heman @kenheman Audio produced by: Bern Mziki @bernmziki Mixed and mastered by: Lucas @ogopathereal

Follow along using the transcript.

WAHU KAGWI

115K subscribers